1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zijue faida na hasara za kilimo biashara

Sylvia Mwehozi
1 Novemba 2017

Katika Makala yetu leo, tunatizama faida na hasara zinazoikabili sekta ya kilimo biashara pamoja na mpango unaodhamiria kuwasaidia vijana wanaojihusisha katika sekta hiyo. Ungana na Reuben Kyama katika makala hiyo kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/2mqya