1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Rais Jonathan Goodluck wa Nigeria nchini Rwanda

6 Oktoba 2011

Rais wa Nigeria Jonathan Goodluck yuko ziarani nchini Rwanda ambako miongoni mwa mambo mengine ametembelea makumbusho ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 katika mji mkuu wa nchi hiyo Kigali.

https://p.dw.com/p/12msS
Rais Jonathan Goodluck wa NigeriaPicha: AP

Aidha rais huyo atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Paul Kagame mchana huu. Katika kupata zaidi juu ya yaliyojitokeza kufuatia ziara hiyo,Saumu Mwasimba amezungumza na Mwandishi wetu wa Kigali Sylvanus Karemera ambaye kwanza anazungumzia jinsi ziara ya rais Jonathan ilivyopokelewa.

Mwandishi: Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohamed Abdulrahman