Zanzibar yapiga maarufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki
8 Agosti 2011Matangazo
Kwa mujibu wa maarufuku hiyo kuanzia sasa yeyote atakayekutwa akitumia mifuko ya Plastiki anaweza kutozwa faini ya hadi shilingi millioni 1.5 za Kitanzania au kutiwa jela miezi Sita au kukabiliwa na adhabu zote mbili.
Je wataalamu wa masuala ya mazingira wameipokea vipi hatua hiyo.Nimezungumza na Hamza Zubeir Rijal mtaalamu wa Masuala ya Mazingira Zanzibar na alikuwa na haya ya kueleza.