Zanzibar: Ripoti ya Meli ya MV Spice Islander
19 Januari 2012Matangazo
Ripoti hii imetaja uzembe kama chanzo cha ajali, idadi kamili ya wailokuwemo katika meli na walikufa, mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa dhidi ya wahusika na fidia kwa waliothiriwa.
Kutoka huko Zanzibar Sudi Mnette amezungumza na mwandishi Issa Yusuf na kwanza nilitaka ufafanuzi wa chanzo cha ajali hiyo.
Mwandishi: Issa Yusuf
Mhariri: Othman Miraji