Zanzibar na swala la eneo la Bahari ya Hindi | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.01.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zanzibar na swala la eneo la Bahari ya Hindi

Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi visiwani Zanzibar wametaka Waziri wa maliasili wa Zanzibar Juma Shamhuna ajiuzulu.

Blick auf den Strand von Jambiani an der Ostküste der Insel Sansibar, Tansania. Aufnahme vom Oktober 2004. ### Verwendung nur in Deutschland, usage Germany only ###

Kisiwa cha Zanzibar

Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi visiwani Zanzibar wametaka Waziri wa maliasili wa Zanzibar Juma Shamhuna ajiuzulu. kufuatia sakata la kushirikiana kinyemela na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kufanikisha ombi la kutaka nyongeza ya eneo la bahari ikijumuisha mipaka ya visiwa hivyo, pasipo kulishauri baraza hilo.Wito wa kutakiwa kujiuzulu kwa waziri huyo mkongwe visiwani Zanzibar unafuatia hoja binafsi iliyotolewa na mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa. Kufutia hali hiyo Sudi Mnette alizungumza na Issa Yusuf, Mwandishi kutoka Zanzibar kujua ni yapi yaliyojitokeza hadi wakati huu .

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com