Zanzibar: Mzozo wa kupanuliwa eneo la Bahari ya Hindi
24 Januari 2012Matangazo
Hii imetokana na ombi la serikali ya Muungano wa Tanzania kwa Umoja wa Mataifa kuomba nyongeza ya mpaka katika Bahari ya Hindi ni kuipokonya Zanzibar haki yake. Yeye alitaka kuwepo mazungumzo ya kuamua nani anamiliki eneo hilo kati ya Tanzania na Zanzibar.
Othman Miraji alimpigia simu Salim Said Salim, mwandishi wa habari mkongwe Visiwani humo, kutaka kujuwa nini kilichozunguka katika hoja hiyo ya mwakilishi Jussa Ladhu hata Wazanzibari kuwa na hamu na mjadala huo ....
Mwandishi: Othman Miraji
Mhariri: Saumu Yusuf