Zanzibar: Maiti 68 zimepatikana katika ajali ya meli ya MV Skaget | Matukio ya Afrika | DW | 20.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Zanzibar: Maiti 68 zimepatikana katika ajali ya meli ya MV Skaget

Idadi ya maiti za watu waliokufa katika ajali ya meli ya mv skaget iliyozama mapema wiki hii zanzibar ikifikia 68 huku changamto iliyojitokeza ni ya kusafirisha maiti za raia kutoka nje ya Tanzania.

Raia wa Kigeni waliookolewa katika meli ya MV Sakget

Raia wa Kigeni waliookolewa katika meli ya MV Sakget

Salma Said anaripoti kutoka Zanzibar.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Salma Said

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada