1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

YouTube, Facebook wakabana koo kwenye "Live Video"

Yusra Buwayhid
22 Februari 2017

Mitandao miwili maarufu ya kijamii, Facebook na YouTube, iko kwenye ushindani mkubwa kuvutia watumiaji kwa kuweka matangazo ya moja kwa moja ya vidio, katika kasi ambayo haijawahi kushuhudiwa hapo kabla.

https://p.dw.com/p/2Y36Q