1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yoga yasaidia wakati wa kujifungua

Lubega Emmanuel22 Septemba 2016

Yoga ni aina ya mazoezi yenye asili yake nchini India. Mazoezi hayo sasa yamesambaa dunia nzima na yanaelezwa kusaidia kuimarisha viungo na misuli na pia kumwezesha mtu kutuliza mawazo. Katika "Afya Yako" Emmanuel Lubega anaangazia Yoga maalumu kwa wajawazito.

https://p.dw.com/p/1K6id