Pua ni miongoni mwa viungo muhimu katika wajihi wa mwanaadamu, ambacho kwa sababu ya kukutana kwake moja kwa moja na mazingira, kinakabiliwa na hatari za mara kwa mara za maambukizi yanayopelekea maradhi mwilini.
https://p.dw.com/p/RZlq
Matangazo
Maryam Dodo Abdallah anazungumzia sababu, athari na njia za kutibu na kujikinga maradhi ya kutoka damu kwenye pua.