1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wigi la saratani

Thelma Mwadzaya22 Novemba 2017

Nywele ni sehemu kubwa ya urembo wa mwanamke. Si ajabu wengi huhakikisha nywele zao zinapendeza kwa namna yoyote ile. Lakini kwa wanaougua ugonjwa wa saratani wanapoanza matibabu wanapoteza nywele zao kutokana na makali ya dawa. Sikiliza makala hii iliyoandaliwa na Thelma Mwadzaya kuhusu ukarimu wa mwanamke mmoja aliyeamua kuwarejeshea wanaougua ugonjw ahuo urembo wao.

https://p.dw.com/p/2o4xg