Waziri Mkuu wa Kongo aahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wapiganaji
30 Mei 2007
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Antoine Gizenga ameahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wapiganaji ili kudumisha amani katika majimbo ya Kivu ya Kusini na Kaskazini.
https://p.dw.com/p/CHDR
Matangazo
Kiongozi huyo aliyasema hayo wakati alipohutubia bunge kueleza hali ya usalama na mpango wa bajeti ya serikali.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.