1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazazi wa kukodisha

5 Aprili 2018

Je, ushawahi kujikuta katika hali ambayo mzazi wako anahitajika, lakini kutokana na sababu moja au nyingine, hauwezi kumpata? Au tuseme, kila mara mzazi wako anakupa shinikizo la kuoa au kuolewa na ilhali haujapata mpenzi, unaweza kumletea "mchumba bandia?" Katika vijana mchakamchaka, tunajadili kuhusu "wazazi wa kukodisha" au "wapenzi wa kukodisha". Sikiliza makala hii.

https://p.dw.com/p/2vX3i