Wauguzi wafukuzwa kazi nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 09.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wauguzi wafukuzwa kazi nchini Kenya

Utoaji huduma katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zinazomilikiwa na Serikali nchini Kenya imezorota, kufuatia mgomo wa wauguzi na hatua ya serikali kuwafukuza kazi, wauguzi wapatao elfu ishirini na tano.

Mgonjwa hospitalini bila kuhudumiwa.

Mgonjwa hospitalini bila kuhudumiwa.

Serikali imetangaza hatua hiyo kwa kile inachodai kushindwa kuendelea kuona maelfu ya wagonjwa wakitaabika, bila huduma.

Pendo Paul amezungumza na Mwenyekiti wa Muungano wa Madaktari nchini Kenya Dr.Victor Ngány .

(Kusikiliza mazungumzo hayo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada