1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watuhumiwa wa IS wafikishwa mahakamani Mombasa

Eric Ponda20 Februari 2017

Watu wanne Kenya wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS, wamefikishwa katika mahakama ya Mjini Mombasa na kushtakiwa kwa kosa la kupanga njama za kufanya mashambulio nchini humo.

https://p.dw.com/p/2XvsZ

Washukiwa hao ambao yadaiwa waliingia Kenya kutokea  Syria, wamewekwa rumande kusubiri uchunguzi ukamilike.