1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wenye ulemavu – Kipindi 05 – Masikini hohehahe

21 Machi 2011

Mama na mwanawe wa kiume wanahimizana kwamba mustakabali wao sio mbaya vile. Wakati huo huo, Theresa anafichua jambo kwa Tofa na Fagilio anagundua kwamba mwanawe wa kiume anafuata nyayo zake za kujutia.

https://p.dw.com/p/QgO2