Watu wanaojali – Kipindi 07 – Mfanyakazi wa kujitolea wa Slum TV
29 Machi 2011
Je, hujasikia kuhusu hadithi za mafanikio, habari njema na talanta nzuri kutoka mitaa ya mabanda? Ni kwa sababu hujatazama televisheni ya Mathare. Tuwafuatilie kadri wanapotayarisha hadhithi hizi.