Chimbuko, muziki wa roki, rege na maisha? Wakati huu tunakupeleka Ouagadougou ambako mwanamuziki wa rege anatumia ujuzi wake kuwahimiza na kuwatia moyo wengine.
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com