1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 39 wauwawa Msumbiji

19 Juni 2018

Watu 39 wameuwawa na wengine zaidi ya 1,000 kusalia bila makazi baada ya kushambuliwa na vijiji vyao kuchomwa moto jimboni Cabo Delgado, Msumbiji.

https://p.dw.com/p/2zpsR