1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wana haki ya kusoma si kurandaranda mitaani

Sylvia Mwehozi
19 Juni 2017

Je ushawahi kujiuliza adha wanazopitia watoto wanaorandaranda mitaani? Unapomuona mtoto ombaomba anakimbilia magari kuomba mawazo gani yanakujia kichwani? Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge Benard Maranga anaangalia tatizo hilo kwa watoto wa mitaani nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2euHW