1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto 770,000 wakabiliwa na utapiamlo Kasai

Lilian Mtono
11 Mei 2018

Shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya watoto, UNICEF, limeripoti kuwa takriban watoto 770,000 katika eneo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia wa Kongo wanakabiliwa na utapiamlo. Sharne Kitambala ni mmoja wa viongozi wa shirika lisilo la kiserikali lililoko eneo la Kasai, la Tumaini la Uhai

https://p.dw.com/p/2xWUZ