1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watetezi wa haki wakosoa polisi Kenya

5 Aprili 2017

Mashirika ya kutetetea haki za binadamu yamelaani mauaji ya vijana wawili yaliyofanywa na maafisa wa polisi hivi majuzi nchini Kenya, yakisema yanakusanya ushahidi kuwafungulia mashtaka maafisa hao.

https://p.dw.com/p/2aj6t
Askari polisi Kenya
Picha: Reuters/T. Mukoya

M MT/J2.05.04.2017-Kenya Human Rights Commission Press briefing on Police k - MP3-Stereo

                  

Kenia Nairobi
George Morara, naibu mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Kenya, katika mahojiano na mwandishi wa DW, Shisia WasilwaPicha: DW/S. Wasilwa
Kenia Nairobi
Daniel Onyango, mkazi wa Eastleigh walikouliwa vijana wawili na polisi, ataka polisi wazingatie sheriaPicha: DW/S. Wasilwa