1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wapata huduma ya urembo kupitia app

Elizabeth Fredrick Shoo12 Aprili 2016

Katika Sema Uvume wiki hii, Elizabeth Shoo anatambulisha app ya "Beauty Pro" inayoruhusu wanawake Tanzania kutafuta wasusi na wataalamu wa vipodozi. Pamoja na hayo, ataangazia mabadiliko WhatsApp yanayoifanya huduma hiyo iwe salama zaidi.

https://p.dw.com/p/1ITzD