1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wataliban wauwa polisi wanne Afghanistan

13 Januari 2008
https://p.dw.com/p/Cp30

KANDAHAR:

Polisi wanane wa Afghanistan wameuawa katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa Kitaliban.

Polisi inasema kuwa shambulio hilo limeetokea katika kituo cha ukaguzi kusini mwa nchi hiyo. Wapiganaji hao inasemekana walishambulia kituo kimoja kinachopatikana katika wilaya ya Maywand katika mkoa wa Kandahar.Afisa wa polisi katika wilaya jirani ya Neven amesema washambuliaji hao baadae waliondoka na magari mawili ya polisi pamoja na silaha za maofisa hao wa polisi.