1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watafuta elimu mwendo mrefu

8 Januari 2018

Wanafunzi katika shule ya msingi ya Ufana, mkoa wa Manyara huko Tanzania wanalazimika kutembea kilomita nane kila siku kuelekea shule. Kila siku wanakosa angalau masomo matatu ya kwanza na wanapowasili shule, wanakuwa wamechoka mno.

https://p.dw.com/p/2qWHq