1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi wa vijana kuangamizwa Kenya

24 Mei 2018

Wakaazi wa mtaa wa Mathare huko Nairobi, Kenya, wana wasiwasi kuhusiana na mustakabali wa vijana eneo hilo, kwani polisi wanadaiwa kuwaangamiza kwa kiasi kikubwa sana pasipo sababu. Sikiliza makala ya Mbiu ya Mnyonge iliyoandaliwa na Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/2yFmr