1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiofunga mwezi wa Ramadhani Nigeria wakamatwa

Sudi Mnette21 Juni 2016

Jimboni Kano, Kaskazini mwa Nigeria, kuna kikosi maalum cha polisi, Hizbah, kinawatia mbaroni baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaokula mchana katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani.

https://p.dw.com/p/1JAbp