1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasichana – Kipindi 5 – Udhalilishaji kingono II

21 Machi 2011

Katika sehemu hii ya pili, Bibiy amegundua kuwa mmoja wa marafiki zake wakubwa alifanyiwa visa vya udhalilishaji kingono na mjomba wake na sasa ni mjamzito. Kwa hivyo ameanzisha harakati za kutafuta haki ya kisheria.

https://p.dw.com/p/QpK6