WASHINGTON: CIA yataka mkurugenzi awajibike kwa mashambulio ya tareha 11 septemba | Habari za Ulimwengu | DW | 22.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: CIA yataka mkurugenzi awajibike kwa mashambulio ya tareha 11 septemba

Shirika la upelelezi la Marekani CIA linataka aliekuwa mkurugenzi wa shirika hilo bwana George Tenet na maafisa wengine wa ngazi za juu wawajibike juu ya makosa yaliyofanyika kabla ya kutokea mashambulio ya kigaidi ya tarehe 11 mwezi septemba nchini Marekani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com