″Wapiga kura hewa″ kufutwa Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 11.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi Mkuu Kenya

"Wapiga kura hewa" kufutwa Kenya

Tume ya uchaguzi IEBC imetangaza kuhakiki daftari la wapiga kura kabla ya uchaguzi huo utakaofanyika mwezi Agosti. Mwenyekiti wa Tume hiyo kitaifa, Wafula Chibukati, anafafanua kuhusu mchakato huo.

            

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com