1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wanawake wakimbizi wapambana na maisha Uganda

Ingawa maji yakimwagika hayazoleki, bado huo si mwisho wa mtu kupata maji ya kunywa kama anavyothibitisha Marie Mabala, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), anayekabiliana na maisha nchini Uganda.

Mwanamke wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mwanamke wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Katika makala hii, Leyla Ndindah anazungumzia maisha ya wanawake wakimbizi nchini Uganda, ambao wameamua kujiajiri wenyewe kwa ajili ya kujikimu kimaisha na kulea familia zao. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mwanamke na Maendeleo
Mada: Wanawake wakimbizi wapambana na maisha Uganda
Mtayarishaji: Leyla Ndinda - DW Uganda
Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada