1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wanawake na maendeleo

Kipato katika tofauti za kijinsia na hasa mwanamke kuzidi mwanamme katika familia kunaleta tija au mifarakanao katika familia.

Katika makala hii ya wanawake na maendeleo Amina Abubakar amefuatilia kwa kina kuhusu wanawake wanaopata kipato kikubwa zaidi kuliko wanamme. Je, ni kweli kwamba wanawake wanapopata fedha nyingi, huwa na kiburi na kutaka kutoa maagizo fulani katika jamii? Kusikiliza makala bonyeza alama ya spika za kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi Amina Abubakar
Mhariri Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada