1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa Rwanda nchini Uganda mashakani

4 Oktoba 2011

Licha ya kumalizika kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na serikali ya Uganda kutishia kuwafukuza, bado wakimbizi wa Kinyarwanda walioko Uganda hawajaamini kwamba ni salama kwao kurudi nyumbani kwao.

https://p.dw.com/p/Rp4u
Bado wakimbizi wa Kinyarwanda hawaaminishi kurudi kwao.
Bado wakimbizi wa Kinyarwanda hawaaminishi kurudi kwao.Picha: AP

Leila Ndinda ametembelea makambi ya wakimbizi wa Kinyarwanda walioko nchini Uganda na hapa anazungumzia hatima na majaaliwa yao.

Mtayarishaji/Msimulizi: Leila Ndinda
Mhariri: Othman Miraji