Wakimbizi wa kiafrika wazamqa katika bahari ya kati
30 Juni 2007Matangazo
Valetta:
Watu wasiopungua 11wamekufa meli yao iliyosheheni wakimbizi ilipozama kati ya Libya na Malta.Abiria 20 wameokolewa na mashua ya wavuvi ya Malta .Habari hizo zimetangazwa na jeshi la kisiwa hicho cha bahari ya kati.Wahamiaji hao wanasemekana wametokea Ethiopia, Somalia na Nigeria.