1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakulima masikini wagundua njia ya kuondosha ujinga

Veronica Natalis5 Agosti 2015

Wakati wakaazi wa maeneo mengine nchini Tanzania wakingojea serikali kuwajia na majibu ya kila tatizo lao, mkoani Shinyanga wananchi wamegundua njia ya kujipatia ufumbuzi wa matatizo yao wao wenyewe, wakianzia na kuanzisha kituo cha kujisomesha na kujisomea vitabu.

https://p.dw.com/p/1GAMq