1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waigizaji weusi Ufaransa waandamana

12 Juni 2018

Waigizaji weusi 16 wa kike walifanya maandamano katika sherehe za zulia jekundu la Cannes huko Ufaransa ili kupinga ubaguzi wa rangi katika sekta ya filamu ya Ufaransa. Wakiongozwa na mcheza filamu aliyezaliwa Senegal Aisa Maiga, wacheza filamu hao walishikana mikono katika sherehe hizo na wakatembea katika zulia hilo jekundu hadi katika eneo maarufu la ngazi liitwalo Palias des Festivals.

https://p.dw.com/p/2zOd9