1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waghana wapiga kura kumchagua rais

Sylvia Mwehozi
7 Desemba 2016

Raia wa Ghana leo wamepiga kura kuchagua rais na wabunge katika uchaguzi mkuu. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel achaguliwa tena kukiongoza chama chake cha CDU kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Na rais wa Marekani Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho ya masuala ya usalama. Papo kwa Papo 07.12.2016

https://p.dw.com/p/2TubA