1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafungwa wahitimu chuo kikuu Uganda

23 Machi 2018

Kwa mara ya kwanza, kumefanyika mahafali kwa ajili ya wafungwa wa gereza la usalama wa hali ya juu la Luzira. Baadhi ya wahitimu ni watu waliohukumiwa kifungo cha maisha. Hii ni kuonyesha wafungwa ni sehemu ya jamii.

https://p.dw.com/p/2uq5z
Mhitimu Pascal Kakuru
Picha: DW/E. Lubega

J2.23.03.2018Uganda inmates graduation - MP3-Stereo