1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafanyakazi wa shirika la utangazaji KBC wagoma nchini Kenya

29 Februari 2012

Zaidi ya wafanyikazo 1500 wa shirika la utangazaji nchini Kenya KBC wamegoma wakitaka kulipwa malimbikizi ya marupurupu yao ya mishahara ya jumla ya zaidi ya milioni 360.

https://p.dw.com/p/14Boh
Wafanyakazi wa KBC wakiwa kwenye mgomo
Wafanyakazi wa KBC wakiwa kwenye mgomoPicha: DW

Wafanyikazi hao wameandamana hadi majengo ya bunge kuwasilisha yao kwa wabunge ambayo ni pamoja na kuboreshwa kwa mazingira ya kazi, kuajiriwa kwa wafanyikazi ambao wengine wa,mefanya kazi kama vibarua kwa muda wa hadi miaka saba.

Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi ana taraifa zaidi.

(Kusikiliza ripoti hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdulrahman