1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waakimbizi wataka usalama badala ya chakula

9 Novemba 2007

Siku mbili baada ya maandamano ya wakimbizi katika mji wa Ruchuru, mkoani Kivu ya Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, ya kuiomba serikali kurudisha usalama katika maeneo walipotoka wakimbizi hao, ujumbe wa serikali kuu ya mjini Kinshasa ukiongozwa na waziri wa mambo ya ndani ulitembelea mji wa Goma kutathmini hali ya mambo.

https://p.dw.com/p/CHj9
Wakaazi wa karibu ni jiji na Goma wakikimbia mapigano
Wakaazi wa karibu ni jiji na Goma wakikimbia mapiganoPicha: AP

Wakati huo huo, wanamgambo 60 wamejiripoti kwa jeshi la serikali mkoani Ituri wakisubiri kujumuishwa katika jeshi la nchi hiyo. Sikiliz aripoti kamili ya John Kanyunyu.