1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kenya yaamua

Vyombo vya habari katika uchaguzi Kenya

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 wanahabari wa Kenya walilaumiwa kuchangia katika kuleta vurugu zilizofuatia mwaka 2008. Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wanahabari nchini Kenya, David Omwoyo, atoa tathmini.

Sikiliza sauti 02:38

Mahojiano na David Omwoyo kutoka Kenya

         

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com