1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa upinzani wanaong'ang'ania madaraka

Josephat Charo Nyiro20 Septemba 2016

Mara nyingi wanasiasa waliopo madarakani wananyooshewa vidole na kupingwa pale wanapokataa kuachia ngazi. Marais wa Kiafrika kama Robert Mugabe wa Zimbabwe wanataka kuendelea na uongozi, licha ya kwamba muda wao umemalizika. Lakini vipi kuhusu viongozi wa upinzani ambao pia wamegoma kuwapisha wengine madarakani?

https://p.dw.com/p/1K5Sq