1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Ulaya na Afrika wakutana Malta

Isaac Muyenjwa Gamba11 Novemba 2015

Viongozi wa umoja wa ulaya hii leo wanatarajia kuwashawishi viongozi kadhaa wa mataifa ya barani Afrika, mjini Valleta kisiwani Malta, kusaidia kuzuia wimbi la wakimbizi wanaomiminika barani Ulaya . Msikilize mchambuzi wa masuala ya kisiasa Foum Kimara aliyeko nchini Uingereza akieleza iwapo hatua hiyo itakua na tija.

https://p.dw.com/p/1H3qd