Viongozi wa Afrika wajadili usalama | Matukio ya Afrika | DW | 14.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Viongozi wa Afrika wajadili usalama

Wakuu wa nchi za Afrika na wadau wa masuala ya usalama wanakutana Addis Ababa, Ethiopia, kujadili changamoto za usalama. Mchambuzi Mwenda Mbijiwe anatoa tathmini iwapo mkutano utakuwa na manufaa.

Sikiliza sauti 03:10

Msikilize mchambuzi Mwenda Mbijiwe katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada