VILNIUS: Waziri Steinmeier ziarani Lithuania13.07.200713 Julai 2007https://p.dw.com/p/CBj7MatangazoWaziri wa masuala ya nje wa Ujerumani,Frank-Walter Steinmeier,amewasili Vilnius,mji mkuu wa Lithuania.Hapo awali,Steinmeier alizizuru Estonia na Latvia pia akiwa katika ziara yake ya kwanza katika nchi za Baltik.