1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wazungumzia changamoto ya ukahaba

Josephat Charo Nyiro/M M T5 Aprili 2017

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ukiwemo ukahaba. Ukahaba si changamoto inayowakabili wanafunzi wa kike tu, bali pia hata wanafunzi wa kiume. Josephat Charo alikaa chini na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya kulijadili suala hili.

https://p.dw.com/p/2akJ1