1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanahitaji mashujaa kuwaongoza?

12 Machi 2018

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Na katika mada ya wiki hii tunauliza, je vijana wanahitaji mashujaa ili wafanikiwe maishani?

https://p.dw.com/p/2u94q