Vijana wa Kijerumani na wa Kiafrika wafanya mashauriano huko Zanzibar,Tanzania
24 Februari 2009Matangazo
Vijana hao jana walikuweko Kisiwani Zanzibar na wakapewa maelezo na wasomi katika warsha iliopewa jina la GO Africa Go Germany. Viongozi hao huenda wakawa viongozi wa hapo kesho.
Othman Miraji alizungumza na Dr. Mohammed Bakari wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam aliyeongoza warsha hiyo huko Zanzibar.. ambaye kwanza alikuwa na haya ya kueleza.