Vijana na Redio | Masuala ya Jamii | DW | 09.09.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Vijana na Redio

Tarehe 13 ni siku ya redio duniani. Na mwaka huu kaulimbiu ni "Vijana na Redio". Vijana Mchaka Mchaka inazungumzia mada hiyo.

Vijana siku hizi wanasikiliza nini? Wanasikiliza redio wakati gani na wanazungumziaje manufaa ya kusikiliza redio. Ungana na Elizabeth Shoo katika Vijana Mchaka Mchaka.

Kusikiliza makala bonyeza alama ya spika za masikioni.

Mwandishi: Elizabeth Shoo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada