1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana katika Pwani ya Kenya wajifunza lugha za kigeni.

Jacob Safari Bomani / MMT2 Novemba 2017

Kujifunza lugha za kigeni katika Pwani ya Kenya kumekuwa mtindo miongoni mwa vijana. Jacob Safari anaijadili mada hiyo kwenye makala ya Vijana Mchakamchaka

https://p.dw.com/p/2mtXJ